Jinsi Inavyofanya Kazi
HATUA 1 Chagua Money Manager
Chagua Money Manager unayependelea kulingana na kiwango chake cha hatari, historia ya utendaji na uzoefu.
HATUA 2Weka Fedha
Weka fedha kwenye akaunti unayotaka kutumia kwa CopyTrading.
HATUA 3 Anza CopyTrade
Fuata na uunganishe kwenye mkakati unaopendelea wa Money Manager wako, kisha uanze CopyTrade!
Copy Trading ni nini?
Utaratibu wa Copy Tradingni upi?
Kuna ada zozote zinazotozwa kwa Copy Trading?
Ninahitaji kuwekeza kiasi gani ili kuanza Copy Trading?
Ninaweza kuchagua Msimamizi wa Fedha ninayependelea kumfuata?
Ninaweza kuchagua Wasimamizi tofauti wa Fedha na kusambaza uwekezaji wangu?
Ninaweza kutoa pesa zangu wakati wowote?
Nini kitafanyika kama Msimamizi wa Fedha ninayewekeza naye atapata hasara?
Ninaweza kujitenga na Msimamizi wa Fedha wakati wowote?
Kama mteja atawekeza kwa Msimamizi wa Fedha, mteja ataiga biashara zote, biashara zilizopo na mpya za Msimamizi huyo wa Fedha?
Ninaweza kuwekeza katika Msimamizi mmoja wa Fedha nikitumia namba na/au aina tofauti ya akaunti ya biashara?
Ninawezaje kuwasiliana na Msimamizi wangu wa Fedha?
Faida huhamishiwa kwenye pochi au huwekezwa tena kiotomatiki kwenye akaunti ya mwekezaji?
Ninaweza kufikia au kudhibiti biashara zangu za mwigo kupitia MT4 au MT5?
Asilimia ya faida hutathminiwa mara ngapi kwa Wasimamizi wa Pesa – Kila Siku, Kila Wiki au Kila Mwezi?
Wasimamizi wa Fedha wanatumia aina gani ya utekelezaji wa agizo, ni mfuatano au papo hapo?
Wasimamizi wa Fedha mara nyingi wanaweza kuchagua aina ya utekelezaji inayofaa mapendeleo yao ya mkakati na hatari. Aina za utekelezaji wa agizo zimefafanuliwa hapa chini:
Utekelezaji mfuatano: maagizo hutekelezwa kwa mpangilio wa yanavyopokelewa
Utekelezaji wa papo hapo: maagizo hutekelezwa mara moja kwa bei ya sasa ya soko.
Aina gani ya akaunti ambayo Msimamizi wa Fedha anaweza kuweka kwa mikakati?
Kiasi cha chini zaidi kwa Msimamizi wa Fedha cha kufungua mkakati mpya ni kipi?
Ninaweza kubadilisha mkakati wangu na/au kukomesha jukumu langu kama Msimamizi wa Fedha wakati wowote?
Ninaweza kufanya nini ili kuwavutia wawekezaji zaidi?
Taarifa gani ninazofaa kujumuisha kwenye wasifu wangu wa Msimamizi wa Fedha?
Wawekezaji wangu watatozwa asilimia ya faida lini?
Ninaweza kuamua kiasi cha asilimia ya faida cha kuwatoza wawekezaji wangu?
Ninahitaji kulipa ada ili kuwa Msimamizi wa Fedha?
Nitapokea asilimia ya faida lini kutoka kwa wawekezaji wangu?
Ninawezaje kuwa Msimamizi wa Fedha?
Uko Tayari Kuanza?
Anza kwa hatua 3 rahisi tu
Jisajili
Fungua aina ya akaunti ya trading unayopendelea.
Weka Fedha
Weka fedha kwenye akaunti yako kupitia chaguo za malipo zinazopatikana.
Fanya Trading na Upate
Fanya trading kwa busara na ongeza faida zako leo!



